Seventh-Day Adventist Church

Swebo Seventh-day Adventist Church

Menu
Add a Slideshow to see your custom images here

MWANZO




Karibu kwenye tovuti inayomilikiwa na kuendeshwa na Kanisa la Waadventista wa Sabato Swebo lililo kwenye mtaa wa Swebo Wilayani Rungwe na Konferensi ya Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania.
Tovuti hii itakupatia maarifa na taarifa zitakazokuimarisha kiroho, kijamii, kiuchumi, kiafya, na kiakili. Karibu sana ushirikiane nasi.